NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOSA.



Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa  anawatangazia wananchi wote  wenye sifa zinazotakiwa kuomba na kujaza nafasi za kazi mbalimbali za kazi kwa kibali cha FA.170/361/01/50 cha tarehe 20 Julai  2017 na kibali mbadala kumbu Na. CFC 26/205/01 "F"/91 cha tarehe 22 Agost 2017

1. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II NAFASI 2

MAJUKUMU

- kutafuta kumbukumbu/nyaraka /majalada yanayohitajiwa na wasomaji
- kuweka majalada katika makundi
- kuweka kumbu kumbu  katija majalada
- kuthibiti upokeaji wa, uandikishaji wa kumbukumbu/ nyaraka

MWOMBAJI AWE NA
- awe amehitimu elimu ya kidatao cha 4 au 6
- awe amehitimu mafunzo ya utnzaji kumbukumbu angalau katika ngazi ya cheti katika moja wapo ya fani za Afya, Masijala, Mahakama ya Ardhi

UMRI
awe na umri usiopungua miaka 18 na usizidi miaka 40

NGAZI YA MSHARA
Kiwango cha ngazi ya mshara ni TGS B 1

MTENDAJI WA KIJIJI NAFASI 74

A. SIFA ZA WAOMBAJI


Waombaji wawe na Elimu ya Kidato cha Nne au cha sita namafunzo ya Astashahada au chetl katika moja ya fani zifutazo:-
•Utawala
•Sheria
•Elimu ya .Jamil
•Usimamizi wa Fedha
•Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Jamii kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

B. KAZI NAMAJUKUMU YA MTENDAJI WA KIJJJI III
•Kuratibu na kueirnarnia upanqa]! wa mipango ya maerideteo ya Kijiji.
•Kusimamia ulinzi na Usalarna wa Raia na mali zao
•Kukusanya mapato ya Halmashauri ya Kijiji
•Kusimamia, kukusanya kUhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za ViJiji
•Katibu wa Mikutano ya Halmashauri ya Kijiji
•Kuslmarnia utungaji wa sheria ndogo za Vijiji
•Afisa Masuuttrra MtendaJi Mkuu wa Serikali ya Kijiji
•Kupokea kusikiliza na kutatua rnatatarniko na migogoro ya wananchi

UMRI
Muombaji awe na umri usiopungua miaka 18 na usizidi miaka 45

C.MSHAHARA

•mshahara utatolewa na serikali kulingana na  ngazi ya mshahara  wa kada na cheo ambacho mwombaji ameajiriwa

MAELEZO YA JUMLA
- Barua ya maombi iambatane na nakala za vyeti vyake  vya elimu ya sekondari na  vyuo pamoja na taarifa binafsi (CV)
- Muombaji ambandike picha 2 za passport size  katika barua yake ya maombi
- hakikisha unaweka namba ya simu na anwani ya posta

3. KATIBU MUHTASI III NAFASI 3

SIFA/UJUZI

Awe na elimu ya kidato cha 4 au 6 waliohudhuria mfuunzo ya Uhazili na kufahulu mtihani wa hatua tatu wawe wamefahulu somo la hati mkato  ya kiswahili na kingereza maneno 80 kwa dakika mona na pia awe amepata mafunzo ya kumpyuta kutooka chuo chochote kinachotambulika na serikali na kupata cheti katika program za Microsoft Office Word, Excel, Publisher, Internet na E-Mail.

MAJUKUMU
- Kuchapa barua taarifa na nyaraka
- kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao na kuwaelekeza  sehemu wanapoweza saidiwa/kuhudumiwa
- kusaidia kutunza tarufa na kumbukumbu za matukio, miadi, wageni tarehe za vikao safari za mkuu wako pamoja na  ratiba zingine zilizopangwa kutekelezwakatika ofisi ya kazi kumpa taarifa Mkuu wako wakati unaohitajika
- kusaidia kutafuta na kumpa Mkuu  wako majlada, nyaraka au kitu chochote  kinachohitajika kwa shughuli za kazi hapo ofisini
- kusaidia kufikisha maelekezo ya mkuu wako wa kazi  kwa wasaidizi wake na pia kumuarifu mkuu kuhusu taarufa zote anazotakiwa kupewa na wasaidizi hao
- kutekeleza kazi zote atakazokuwa amepangiwa na msimamizi wake wa kazi

UMRI
Mwombaji asiwe na umri usiopungua miaka 18 na usizidi miaka 40

KIWANGO CHA MSHAHARA
ngazi ya mshahara ni TGS B 1

4. DEREVA DARAJA LA II NAFASI NAFASI  1

SIFA ZA MWOMBAJI

Kuajiriwa  wahitimu wa kidato cha 4 au 6 wenye leseni daraja la E na C1 ya uendeshaji magariawe na cheti cha majiribio cha ufundi daraja lka II pia awe amehudhuria mafunzo ya msingi yanayotolewa na chuo cha ufundi stadi VETA au chuo kingine  kinachotambuliwa na serikali mwenye ujuzi wa ufundi atapewa kipaumbele

MAJUKUMU
- kukagua gari kabla na baada ya safari  ili kubaini hali ya uslama wa ari
- kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi
- kufanya matengenezo madogo madogo ya gari
- kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali
- kujaza na kutunza taarifa za usafiri katika  daftari la safari
- kufanya usafi wa gari

UMRI
Awe na umri usiopungua miaka  18 au usizidi miaka 45

MSHAHARA

Ngazi ya mshahara ni TGOS A

MAELEKEZO YA JUMLA
Maombi yote yawasilishwe yakiwa yamembatanishwa na maelezo binafsi pamoja na nakala za vyeti vya kuhitimu elimu ya msingi na mafunzo  vinavyoonyesha  kiwango na sio leaving certificate

MUHIMU
muombaji anatakiwa kutumia vyeti vyake halisi na halali kwani uhakiki utafanyika baraza la mitihani na vyuo vya mafunzo alipopatia mafunzo endapo itajulikana kuwa na udanganyifu wa aina yoyote hatua za kisheria zitachukuliwa

Maombi yatumwe kwa anuani hii

MKURUGENZI MTENDAJI (W),
HALMSHAURI YA WILAYA,
S.L.P 65
KILOSA

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 22 September 2017

CHANZO CHA HABARI
NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOSA. NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOSA. Reviewed by Abdurazak Ngowo on September 19, 2017 Rating: 5

No comments:

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();
Powered by Blogger.